MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea mabweni ya Wanafunzi wa Chuo cha Vijana wa UVCCM akipata maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Ndg.Abdi Mahmoud Abdi (kushoto kwa Rais) baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo leo 17-2-2025, katika Wilaya ya Kati Unguja na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohamed Ali Kawaida na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Vijana wa UVCCM, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mabweni ya Vijana Wanaume wa Chuo cha UVCCM Zanzibar , Wilaya ya Kati Unguja leo 17-2-2025.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi Wanaume wa Chuo cha Vijana wa UVCCM Wilaya ya Kati Unguja, akiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Mohamed Ali Kawada, hafka hiyo iliyofanyika leo 17-2-2025.(Picha na Ikulu)