Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Mheshimiwa Ahn Enju katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga, Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Mheshimiwa Ahn Enju baada ya mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini, Mheshimiwa Ahn Enju baada ya mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaina na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini, Mheshimiwa Christine Grau katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Ushirikiano kutoka Umoja wa Ulaya ( Head of Cooperation from the EU Delegation), Marc Stalmsns. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha ya Pundamilia, Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini, Mheshimiwa Christine Grau baada ya mazungumzo yaliyofanyika kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).