Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa
Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa
Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akinywa Kahawa inayozalishwa nchini Tanzania wakati akiwahutubia
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali kwenye Mkutano wa Tatu wa Nchi
zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit)
uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akinywa Kahawa inayozalishwa nchini Tanzania na Waziri wa kilimo Hussein
Bashe kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa
Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) uliofanyika katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar
es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wanaoshiriki Mkutano wa
Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa
Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akitembelea mabanda mbalimbali ya maonesho ya kahawa kabla ya kushiriki
Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25
Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.