Mkuu wa mkoa wa Arusha , Paul Makonda akizungumza kwenye baraza la madiwani mkoani Arusha leo.
Meya wa jiji la Arusha ,Maximilian Iranghe akizungumza katika baraza hilo mkoani Arusha.
Madiwani wa Halmashauri ya jiji la.Arusha wakiwa katika kikao hicho mkoani Arusha .