Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufunga Mkutano Maalumu wa Viongozi, Watalaamu na Wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini, Septemba 10, 2024. Kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya na wa tatu kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Wakamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Cyprian Luhemeja (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufunga Mkutano Maalumu wa Viongozi, Watalaamu na wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini, Septemba 10, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wakipiga makofi wakati Waziri Mkuu alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufunga Mkutano Maalumu wa Viongozi, Wataalamu na wadau wa Mazingira Kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini, Septemba 10, 2024. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Ashatu Kijaji, wa tatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Harusi Said Suleiman, kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Cyprian Luhemeja, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule , wa pili kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Shigeki Komatsubara na wa pili kulia ni Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano Maalum wa Viongozi , Wataalamu na Wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini, kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 10, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)