RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizundua Muongozo wa Uwezeshaji wa Majukwaa ya Wanawake Kiuchumi na Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto 2025/2030, wakati wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika katika ukumbi wa moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu cha Muongozo wa Uazishwaji na Uwendeshaji wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Zanzibar, wakati wa hafla ya mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)