Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua msikiti wa Jaami’u Nuuril Hikma uliopo Yombo, Temeke jijini Dar es salaam, Machi 14, 2025. Kushoto ni Rais wa Taasisi ya Alhikma, Shareef Abdulqadir Al-ahdal. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua msikiti wa Jaami’u Nuuril Hikma uliopo Yombo, Temeke jijini Dar es salaam, Machi 14, 2025. Kushoto kwake ni Rais wa Taasisi ya Alhikma, Shareef Abdulqadir Al-ahdal na kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Abdulrahman Kinana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Ali Mbwana wakati alipozindua msikiti wa Jaami’u Nuuril Hikma uliopo Yombo, Temeke jijini Dar es salaam, Machi 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuzindua msikiti wa Jaami’u Nuuril Hikma uliopo Yombo, Temeke jijini Dar es salaam, Machi 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
