BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kugawa Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu, hafla hiyo ya ugawaji iliyofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba leo 18-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimkabidhi Sadaka ya Futari Mwananchi Ali Mohammed Said, hafla hiyo ya ugawaji wa futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu wa Mkoa wa Kusini Pemba ,iliyofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba leo 18-3-2025.(Picha na Ikulu).
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi ,akimkabidhi Sadaka ya Futari Mtoto Siti Omar Shoka, wakati hafla ya kukabidhi Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu wa Mkoa wa Kusini Pemba, iliyofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Makoyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba leo 18-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, wakati wa ugawaji wa Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba leo 18-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakijumuika na Wananchi kuitikia dua ikisoma na Sheikh Imani Mohammed, baada ya kumalizika kwa hafla ya ugawaji wa Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu wa Mkoa wa Kusini Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba iliyofanyika leo 18-3-2025.(Picha na Ikulu)