RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha tende Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi kwa ajili ya kufungulia saumu, wakati wa hafla ya Iftaar ya pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, iliyofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba, iliyofanyika jana 18-3-2025.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia, baada ya kumalizika kwa Iftaar maalumu aliyowaandalia Wananchi hao, iliyofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba jana 18-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo, iliyofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba iliyofanyika jana 18-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Iftaar ya pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba iliyofanyika jana 18-3-2025 katika ukumbi wa Kiwanja cha Fufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Pemba wakijuika katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba jana 18-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Rashid Hadid, zilizotolewa na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, baada ya kumalizika kwa Iftaar ya pamoja, iliyofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba jana 18-3-2025.(Picha na Ikulu)