Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka Makao ya Taifa ya Watoto Kikombo jijini Dodoma Machi 25, 2025 katika iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naibu Waziri Mwanaidi alimwakilisha Rais Samia katika shughuli hiyo.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akizungumza wakati wa iftar iliyofanyika kwenye Makao ya Taifa ya Watoto Kikombo jijini Dodoma Machi 25, 2025 katika iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naibu Waziri Mwanaidi alimwakilisha Rais Samia katika shughuli hiyo.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akipokea msaada wa vifaa mbalimbali kwaajili ya watoto wanaolelewa kwenye Makao ya Taifa ya Watoto Kikombo wakati wa iftar iliyofanyika kwenye Makao hayo jijini Dodoma Machi 25, 2025 katika iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naibu Waziri Mwanaidi alimwakilisha Rais Samia katika shughuli hiyo.