Asema taarifa hizo ni kioo cha kupima na kutathmini uwazi na ufanisi wa sekta hiyo
Awataka wananchi kuzisoma taarifa hizo ili wapate majawabu ya hali ya utoaji wa huduma za umeme, mafuta na gesi asilia
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko,akizungumza wakati akizindua Taarifa za Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/24,hafla iliyofanyika leo Aprili 9,2025 jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko,(hayupo pichani) wakati akizindua Taarifa za Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/24,hafla iliyofanyika leo Aprili 9,2025 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri wa Wizara ya Nishati, Mhe. Judith Kapinga,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taarifa za Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/24,iliyofanyika leo Aprili 9,2025 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi EWURA, Prof. Mark Mwandosya,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Taarifa za Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/24,hafla iliyofanyika leo Aprili 9,2025 jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Andilile,,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Taarifa za Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/24,hafla iliyofanyika leo Aprili 9,2025 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko,akionesha Vitabu vya Taarifa mara baada ya kuzindua Taarifa za Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/24,hafla iliyofanyika leo Aprili 9,2025 jijini Dodoma.

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua (Taarifa za Maendeleo ya Sekta ya Nishati kwa Mwaka 2023/24,hafla iliyofanyika leo Aprili 9,2025 jijini Dodoma.