Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ushirika, Godfrey Ng’urah Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Aprili 11, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Ushirika, Godfrey Ng’urah Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Aprili 11, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)