Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu (kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Mtendaji wa CRDB Foundation, Tully Mwambapo (kushoto) waakisaini makubaliano ya utoaji wa mikopo nafuu kwa wabunifu wa Tanzania katika hafla iliyofanyika leo Aprili 17, 2025, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam (PICHA NA NOEL RUKANUGA)
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Mtendaji wa CRDB Foundation, Tully Mwambapo (kushoto), wakionyesha mikataba baada ya kusaini makubaliano ya utoaji wa mikopo nafuu kwa wabunifu wa Tanzania, hafla hiyo imefanyika leo Aprili 17, 2025, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, akisisitiza jambo wakati wa hafla ya utiaji saini ya makubaliano ya utoaji wa mikopo nafuu kwa wabunifu wa Tanzania kati ya COSTECH na CRDB Foundation, hafla hiyo imefanyika leo Aprili 17, 2025, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam