22/04/2025 0 Comment 144 Views Mamia wamejitokeza katika mazishi ya Mratibu wa Miss Tanzania by Suzzy Mathias Mamia wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga ambayo yamefanyika leo Aprili 22, 2025 Kidatu mkoani Morogoro. Lundenga alifariki Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. Copyright 2007 ©MICHUZI JR POLISI KUDHIBITI UHALIFU KWA VITENDO Kamati ya Ukaguzi TARURA yatembelea Miradi minne ya barabara Shinyanga Mamia wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga ambayo yamefanyika leo Aprili 22, 2025 Kidatu mkoani Morogoro. Lundenga alifariki Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. SHARE Mpya, Trending Habari