RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na ujumbe wa Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) ukiongozwa na Jaji Mkuu wa Eswatini Mhe.Moses Cuthbert Maphalala (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya kitabu,kutoka kwa Jaji Mkuu wa Kenya Mhe.Martha Koome, baada ya kumaliza mazungumzo yake ya wageni wake Jopo la Majaji kutoka Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na wageni wake Jopo la Majaji wa Jumuiya ya Ukanda wa Kusini na Mashariki ya Afrika (SEACJF) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-4-2025.(Picha na Ikulu)