Profesa Mohammed Janabi Mkurugenzi wa Hospitali ya Haifa ya Muhimbili na Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshinda katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika iliyoachwa na marehemu Dkt. Faustime Ndengulile aliyefariki Mara baada ya kuchaguliwa tu kabla hajakabidhiwa majukumu hayo, Profesa Janabi ameshinda kwa kura 32, Kati ya kura Kura 46.