Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua moja ya chumba cha kubadilishia nguo kwenye viwanja vitakavyotumika kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025 na AFCON 2027 kwa Ushirikiano na nchi za Kenya na Uganda, wakati alipokagua viwanja vya Gymkhana, Meja Generali Isamuhyo na kiwanja cha Chuo cha Sheria(Law School ), jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Reform Sports kutoka Uturuki, Musab Macit, wakati alipofanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumika kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025 na AFCON 2027 kwa Ushirikiano na nchi za Kenya na Uganda, wakati alipokagua viwanja vya Gymkhana, Meja Generali Isamuhyo na kiwanja cha Chuo cha Sheria(Law School ), jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa maelekezo wakati alipokagua viwanja vya Gymkhana, Meja Generali Isamuhyo na kiwanja cha Chuo cha Sheria(Law School ), viwanja ambavo vitatumika kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025 na AFCON 2027 kwa Ushirikiano na nchi za Kenya na Uganda, , jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)