Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji mbalimbali wa Uhispania katika Jukwaa la Biashara la Tanzania na Wafanyabiashara wa Uhispania lililofanyika Jijini Sevilla nchini Uhispania leo tarehe 02 Julai 2025.
Wafanyabiashara, Wawekezaji mbalimbali wa Uhispania pamoja na Viongozi wa Sekta ya Uwekezaji nchini Tanzania wakishiriki Jukwaa la Tanzania na Wafanyabiashara wa Uhispania lililofanyika Jijini Sevilla nchini Uhispania na kuongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 02 Julai 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Wafanyabiashara na Wawekezaji mbalimbali wa Uhispania mara baada ya Jukwaa la Biashara la Tanzania na Wafanyabiashara wa Uhispania lililofanyika Jijini Sevilla nchini Uhispania leo tarehe 02 Julai 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyabiashara, Wawekezaji mbalimbali wa Uhispania pamoja na Viongozi wa Sekta ya Uwekezaji nchini Tanzania mara baada ya Jukwaa la Tanzania na Wafanyabiashara wa Uhispania lililofanyika Jijini Sevilla nchini Uhispania leo tarehe 02 Julai 2025.