Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Angelina Marko amemshukuru DKT Samia Suluhu Hassan amemshukuru Rais DK Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo huku akipongeza mtangulizi wake Kemirembe Lwota kwa kumuongoza katika Njia nzuri ya kiutendaji.
Bi.Angelina ametoa kauli hiyo ikiwa Muda mfu baada ya kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi katika ukumbi wa uwekezaji wa Mkoa wa mara.
Angelina amepata uteuzi huo baada ya madiliko yahivi Karibuni yaliyotolewaa na Rais DKT Samia Suluhu Hassan akimrithi mtangulizi wake Kemirembe lwota.
Pamoja na mambo mengi Bi.angelina Alisema sasa atashirikiana kikamilifu na viongozi wa Serengeti na watendaji wengine kumsaidia Dkt Samia Suluhu Hasaan katika kipande alichomoangia cha Serengeti
Angelina awali alikuwa Katibu Tawala Wilaya ya Serengeti kabla ya uteuzi wake kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti.
Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa wa mara Kanali Evans Mtambi amewataka wakuu hao wawilaya Kwenda kufanya kazi kuwasaidia wananchi nakuhakikisha wanatua Migogoro inayowakabili.