JE, unataka fursa ya kushinda zawadi kubwa na za kuvutia ukitumia Airtel Money kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet? Hii ndiyo nafasi yako. Meridianbet kwa kushirikiana na Airtel Money wanakuletea promosheni ya kipekee ambayo itakupa nafasi ya kuingia kwenye droo za kushinda Bajaj mpya kabisa, safari ya siku mbili Zanzibar kwa watu wawili, TV za Hisense, simu za Samsung Galaxy A25, pamoja na 250 free spins kila siku kwenye mchezo wa kasino maarufu wa PIA.
Ili kujiunga na kampeni hii, ni rahisi sana. Weka angalau TZS 25,000 kupitia Airtel Money, kisha tumia pesa hizo kubashiri kwenye michezo au kucheza michezo ya kasino kwa kiwango hicho au zaidi. Kila muamala utakaoifanya unakuongezea nafasi za kushinda zawadi hizi nzuri.
Kwa kila siku unayoweka angalau TZS 25,000 kupitia Airtel Money, utaweza kupokea moja kwa moja 250 free spins kwenye mchezo wa PIA. Spins hizi ni zawadi ya papo hapo inayokuwezesha kuongeza nafasi zako za kupata pesa halisi. Zaidi ya hayo, Meridianbet itatoa simu 20 za Samsung A25 kwa wachezaji wenye idadi kubwa ya miamala na kiasi kikubwa cha pesa waliyoweka kupitia Airtel Money wakati wa kampeni hii.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Na kama bahati haikuwa upande wako katika droo za wiki, usijali. Kila wiki, Meridianbet itarudisha asilimia 10% ya hasara yako yote ya kubashiri kutoka Jumatatu hadi Jumapili kama bonasi, hadi kiwango cha juu cha TZS 2,500,000. Hii ni fursa nzuri ya kurudisha sehemu ya ulichopoteza na kuongeza burudani yako.
Droo za zawadi kuu ni Bajaj mpya, safari ya Zanzibar kwa watu wawili, na TV za Hisense zitakazotolewa kwa uwazi kabisa pale makao makuu ya Meridianbet Upanga. Washindi watatangazwa hadharani, kuhakikisha kila mshiriki anapata haki sawa katika droo hii kubwa.
Kampeni hii ilianza rasmi tarehe 23 Mei 2025 na itaendelea hadi 23 Agosti 2025. Ili kushiriki, lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi na akaunti halali ya Meridianbet. Deposit lazima ifanywe kupitia Airtel Money (Menu au Push), huku miamala ya Turbocash na tiketi za system kutokuhusika
Wachezaji wanaweza kushinda zaidi ya zawadi moja kwa kipindi chote cha kampeni, lakini kwa kila droo mmoja atapata zawadi moja tu. Free spins zinaweza kubadilishwa hadi TZS 20,000 kuwa pesa halisi. Ili kudai zawadi yoyote, mshindi atalazimika kutoa kitambulisho halali na ushahidi wa makazi.
Usikose fursa hii ya kipekee. Tumia sasa Airtel Money yako kuweka pesa kwenye Meridianbet, anza kubashiri na kucheza michezo unayoipenda mtandaoni, na uwe mmoja wa washindi wa droo hii kubwa zaidi Tanzania.