Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea Banda la Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB lililopo katika Kijiji cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Julai 04 2025 jijini Dar es Salaam. Akiwa katika Banda hilo Mhe. Kikwete amekutana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi Wakili Patrick Kipangula aliyemuelezea historia fupi ya kuanzishwa Bodi hiyo, majukumu yake na maendeleo ya zoezi la usajili wa Waandishi wa Habari na ugawaji wa vitambulisho vya uandishi wa habari kwa waliokidhi vigezo vya kisheria.

07/04/2025
0 Comment
1 Views
WAZIRI KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WA HABARI SABASABA
by 4dmin
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea Banda la Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB lililopo katika Kijiji cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Julai 04 2025 jijini Dar es Salaam. Akiwa katika Banda hilo Mhe. Kikwete amekutana na Kaimu Mkurugenzi... Read More