
Wataalam wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Wizara ya Uchukuzi ,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi pamoja na Halmshauri ya Wilaya ya Kilwa wakitembelea mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Mkoani Lindi
Wataalamu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Wizara ya Uchukuzi ,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi pamoja na Halmshauri ya Wilaya ya Kilwa wakipeana maelezo kuhusiana na ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa mkoani Lindi.
Muonekano wa Jengo la Utawala la Bandari ya Uvuvi Kilwa ,mkoani Lindi
Muonekano wa Jengo la Bandari ya Uvuvi Kilwa sehemu za uendeshaji ,mkoani Lindi
Wataalamu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Wizara ya Uchukuzi ,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi pamoja na Halmshauri ya Wilaya ya Kilwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembelea ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa mkoani Lindi.