Rogatus Mativila Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu akipokea zawadi kutoka kwa Mariam Kopwe Afisa wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar er Salaam Julai 12, 2025.
Rogatus Mativila Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Moundombinu akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar er Salaam kushoto ni Mariam Afisa wa Benki Kuu ya Tanzania BoT.
Baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda hilo wakipata maelezo kutoka kwa wataalam mbalimbali wa BoT.
Baadhi ya wanafunzi wa elimu ya msingi waliotembelea katika banda la BoT wakitembelea banda hilo ili kupata ufahamu kuhusu masuala ya fedha.