Wakati mwingine nilijiangalia kwenye kioo na kujiuliza kama bado ni mimi. Ndoa yangu ilikuwa imelala fofofo hakukuwa na maneno matamu tena, hakukuwa na ile chembe ya hamasa aliyokuwa nayo mume wangu awali. Alikuwa baridi kama mawe, akijibu kwa maneno mafupi, akikwepa mazungumzo ya faragha, na hata usingizi wetu ulikuwa kama wa ndugu mgongoni bila hata……. SOMA ZAIDI