Afisa habari wa timu ya Azam fc Zaka zakazi anaema Simba sc hawana pesa ya kumsajili feitoto.
”Kipindi hiki wachambuzi wengi wanazusha stori ili wapate comments nyingi na engagenment ndio wakati wao ila hakuna wanachojua chochote kuhusu mchezaji wetu feitoto,
Hakuna timu yeyete tanzania itaweza kumchukua hizo hela hawana, kwahiyo hakuna chochote,
Kama wanapata nafasi ya kuongea na hao viongozi labda yawezekaan wanawaelezea matamania yao kwa Fei hilo jambo huwezi kuzuia,
Azam fc haipo tayari kulidhia chochote, haimsikilizi yeyote atakayekuja na ndio maana wanaogopa hata kuja,
Fei hajathubutu kusema anataka kuondoka, fei bado hajasema chochote,
Ili Feitoto aende Simba kwenye kipengele cha mkataba wake kimeandikwa kabisa Azam Fc inatakiwa kuilipa yanga kiasi cha Bilioni 1,
Simba pesa hiyo hawana ili Azam fc iwalipe Yanga na wao ibaki pesa ambayo ni nyingi kuliko watakayopata Yanga.”Zaka zakazi .
NENO MOJA KWA SIMBA???
NB: WANAJITEKENYA WENYEWE😂