Klabu ya JS Kabylie imetuma ofa rasmi ya USD 600,000 (Tshs Bilioni 1.5) ili kupata saini ya Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Jean Charles Ahoua kuelekea msimu ujao
Simba SC wanaipitia ofa hiyo na ikiwalidhisha watamuuza