… Shafii Dauda apenya Temeke,,Injinia Hers Said nje Kigamboni
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wanachama wake ambao wameomba kugombea majimbo ya mikoa mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 na miongoni mwa majimbo hayo yamo ya Mkoa Dar es Salaam.
Majina hayo ya wagombea yametangazwa leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho CPA Amoss Makala alipokuwa akitoa taarifa ya majina ya wagombea waliopitishwa ambayo yatapigiwa kura na wajumbe ambao wanaruhusiwa kupiga kura katika majina hayo yaliyorejeshwa na Kamati Kuu.
Jimbo la Ilala majina ya wagombea yaliyopitishwa kwa kuanza na Jimbo la Ilala ni Mussa Azzan Zungu, Grace Traseas Buberwa,Mendrad Getruda MPANGALA,Stella Herman NJAU, Isaack Salim KITOGO na Rose J. BISENDDO
Kwa upande wa Jimbo la Ukonga majina yaliyopitishwa ni Jerry William SILAA, Vilote Emmanuel MBELE, Rajabu Said NYANGASA, Rangi Samwel NYOMA, Alawi Abdallah RWEGOSHORA
Wakati Jimbo la Segerea Bonnah L. KAMOLI, Aidan Amosi KWEZI, Rajabu Amiry RAMADHAN, Dkt. Kassimu Ali NIHUKA, Gidion K. MANDES, Nyimadi Mfaume YANGE na Abdallah MASHAUSI
Katika Jimbo la Kivule ni Florian M. KARUGABA, Dougras Didas MASABURI, Nixon Mwera MACHORI TUGARA, Mwanaidi R. MAKONGO, Angelina Andrew AKILIMALI, Edmund Maron MWASAGA na Anitha Gomero WAITARA
Kwa Jimbo Kigamboni ni Mponela Selemani MATEI, Mchange Habibu MCHANGE, Haran Nyakisa SANGA, Cynthia Patrick HENJEWELE, Ally Kassim MANDAI na Francis Elias MWAKITALU
Waliopitishwa katika Jimbo la Chamazi ni Abdalla Jaffar CHAUREMBO, Mariam John KAMBI, Hamidu Hassan BOBALI, Melchizedeck Mathayo HANGO, Munir Zakaria ADAM, Mohamed Rajabu LUBUVA na Zuhura Khalfan MAZRUI
Katika Jimbo la Mbagala ni Abdallah Said MTINIKA, Kakulu Burchard KAKULU, Seif Hassan SULLE, David Fumbuka GULULI, Dkt. Elisha Fred Otieno OSATI, Issa Ali MANGUNGU na Dkt. Judith William MOLLEL
Jimbo la Temeke ni Shaffih Kajuna DAUDA, Mariam Nassoro KISANGI, Dorothy George KILAVE, Bernad Mathew MWAKYEMBE, Fadhili Mohamed FAMONGA, Jasdeep Singh BABHRA, Leah Eliainasoe Joseph MWAMPISHI na Mussa Mohamed MTULIA
Wakati Jimbo la Kibamba ni Angellah Jasmine Mbelwa KAIRUKI, CPA. Issa Jumanne MTEMVU, Joseph Masatu CHIKONGOWE, Mch. Dr. Alphonce Boniface TEMBA, Mwamini Lusingu MWAMBO, CPA . Consolatha Modest RWEIKIZA, Dkt. Nestory Erasto YAMUNGU na Dkt. Angelo Tekwa NYONYI
Kwa upande wa Jimbo la Kawe ni Geofrey Anyonyesisye TIMOTH, Adv. Leonard Tungaraza MANYAMA, Maria Alphonce SEBASTIAN, Derek Kaitira MURUSURI, Elias John KOMBA, Godwin John KAMALA,Hemed Shabani NKUNYA na Philip Sospeter MATONDO
Kwa Jimbo la Jimbo la Kinondoni ni Wilfred Elias NYAMWIJA, Abbas Tarimba GULAM, Iddi Mohamed AZZAN, Michael Richard WAMBURA, Jerusa David KITOTO, Adv. Julieth Venant RUSHULI, Wangota Mussa SALUM na Zena Khalfani KIPUTIPUTI
Wakati katika Jimbo la Ubungo ni Prof. Alexander Kitila MKUMBO, Elizabeth Noah JACKSON, Dr. John Ngwangu KAHEMELE, Seif Ibrahim CHEKANAE na Andrew Suleiman KURWA
Hata miongoni majina ya watu maarufu ambayo yameondolewa na Chama hicho ni Injinia Hers Said aliyekuwa ameonesha nia ya kuwania ubunge Jimbo la Kigamboni pamoja na Mkurugenzi wa Msama Promotion ambaye pia ni Mfanyabiashara na muandaaji wa tamasha la Pasaka la Msama Alex Msama.