Wakaazi wa eneo la Igoma mjini Mwanza walipigwa na butwaa Jumanne, Julai 29, 2025, baada ya kufichuka kwamba mwanaume mmoja amekuwa akiishi ndani ya tanki la maji kwa zaidi ya miezi mitano pamoja na mke wake wa pili aliyemwoa kwa siri. Tukio hilo lilizua gumzo mitaani baada ya majirani kuanza kulalamika kuhusu sauti za ajabu…. SOMA ZAIDI