Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi aliyekuwa nahodha wa klabu ya Simba Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kwa mkataba wa miaka 2 hadi mwaka 2027.
Tshabalala amejiunga na Yanga baada ya kumaliza mkataba wake na wekundu wa msimbazi alipohudumu kwa takribani miaka 10.