TRANSFER UPDATE:
Klabu ya Simba SC Imefungua Rasmi mazungumzo na Winga hatari wa Klabu ya FC Les Aigles ya DR Congo Ibrahim Matobo.
Winga huyo mwenye Umri wa miaka 19 Amebakiza Mkataba wa Mwaka mmoja na Klabu yake ya Les Aigles.
Matobo Ambaye anasifika kuwa Winga mwenye Kasi, Ujuzi, Uthubutu na mwenye jicho la Goli Huenda akatimkia Msimbazi ikiwa mnyama atavunja Mkataba aliobakiza na Klabu yake ya sasa ya Les Aigles.