UPDATE: Baada ya Yanga kumfanyia vipimo beki wao Yao Yao wamegundua atarejea uwanjani mwezi January,hivyo wameliondoa jina lake kwenye orodha ya wachezaji wa kigeni ambao watacheza ligi kuu msimu ujao,kisha Yanga wamemsajili beki wa Singida raia wa Ghana Frank Assinki (23) kwa mkopo wa miezi sita.
Kama Yao atakuwa fit mwezi January basi atarudishwa kikosini kisha Frank Assinki atarudi Singida.
Yanga hawana kabisa mpango wa kumkata mazima Yao Yao.