MCHAMBUZI wa michezo @princendosi17 amesema kuwa “Klabu ya Azam imefanikiwa kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja kiungo Feisal Salum Abdallah (27), mkataba utakaodumu hadi mwaka 2027”
“Feisal Salum Abdallah alibakiza mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Azam ila sasa ameongeza mwingine na kuwa na mkataba wa miaka miwili”
VIGEZO VYA MKATABA MPYA
1. Personal Signing-on fee: Tsh 800M
2. Salary per month: Tsh 50M
3. Azam Pesa ambassador: Tsh 200M (1year)