Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Alexander Isak amesisitiza kuwa hatacheza tena Newcastle – hata kama hatapata timu kwenye dirisha hili la uhamisho.
Kulingana na David Ornstein, mshambuliaji huyo anachukulia kazi yake ya #NUFC kuwa imekamilika.
Hata kama Newcastle watakataa kumuuza, hana hamu ya kujumuishwa tena kwenye kikosi cha 1 na kucheza mechi nyingine.