Mchezaji Pipino amesaini Simba kwa kandarasi ya miaka miwili na nyongeza ya mwaka mmoja, thamani ya Mkataba ni MILLION 200 za Kitanzania, KMC wamechukua MILLION 80 huku yeye akichukua MILLION 120 za Kitanzania.
Klabu ya Simba ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo fundi mwanamdogo Ahmed Pipino akitokea Kmc
Pipino ambaye kwa sasa yupo kwenye majukumu ya Kikosi cha timu ya Taifa atajiunga na Simba kwa mkataba wa miaka mitatu,
Pipino amesharejea Mazoezini kwenye Kikosi cha stars baada ya kupata majeraha kwenye Mchezo dhidi ya Mauritania Mchezo ambao stars alishinda 1-0
Pipino to Simba ni DONE DEAL ni pendekezo la Kocha Fadlu Davies.