Simba SC imelipa kiasi Cha USD 100,000 sawa na zaidi ya Tsh million 260 Kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji Seleman Mwalimu Kwa mkopo akitokea Wydad Casablanca.
Simba SC watalazamika kumlipa Mwalimu mshahara wake wote na pia Kuna kipengele Cha kumsajili moja Kwa moja ifikapo mwisho wa msimu.