Timu ya Simba SC rasmi imemtambulisha kiungoa Neo Maema akitokea katika klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
Maema ambae anatarajiwa kuongeza nguvu katika nafasi ya kiungo kwenye kikosi cha Simba amesahiliwa kwa kandarasi ya Mwaka mmoja ndani ya Msimbazi.