BREAKING ๐
Lionel Ateba (26) amejiunga na klabu ya Al – Shorta ya Iraq ๐ฎ๐ถ kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba Sc
Baada ya ofa nyingi mezani, Ateba ameichagua Al – Shorta.
Simba wamevuna $300K (Tshs 740m)
Ateba Atashiriki Champions League ya Asia
โย