Droo ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 imepangwa kufanyika tarehe 5 Disemba 2025 katika Kituo cha Kennedy, Washington DC Nchini Marekani.
Mashindano hayo yanayofanyika mara ya 23 yataandaliwa kwa mara ya kwanza na mataifa matatu ambayo ni Marekani,Mexico na Canada , yakihusisha timu 48 kwa mara ya kwanza katika historia.
Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi rasmi Juni 11 hadi julai 19 mwaka 2026.
​Â