Mzize amefanya maamuzi haya ya kubaki Yanga pasipo kumshirikisha wakala wake,hii imekuja baada ya kuona kijana anatengenezewa migogoro ambayo ingemfanya aondoke Yanga kwa ugomvi mkubwa.
Mzize anaiheshimu Yanga hivyo ameona ni bora kuamua maisha yake mapya ya kubaki pasipo kumshirikisha Wakala.
Hii ni mara ya pili Mzize anafanya maamuzi mazito bila wakala wake coz wakati anaongeza mkataba mpya wa kubaki Yanga mwaka mmoja uliopita alifanya hivyo bila wakala wake kujua.
Siku zote mchezaji ni Boss wa wakala,hivyo kama kuna mambo hayako sawa mchezaji anaweza kufanya maamuzi yake bila wakala kitu ambacho Mzize amefanya📌
Mzize amechagua kucheza mpira siyo migogoro