RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Makubaliano ya Ushirikiano wa Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Kiuchumi katika Sekta mbalimbali baina ya Qatar na Zanzibar, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akisaini Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Ndg. Khamis Mwalimu Suleiman (kushoto kwa Rais) kwa Qatar akisaini mmoja wa mwana familia ya Kifalme ya Qatar Sheikh Mohammad bin Mansour bin Jabor bin Jassim Al Thani, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-8-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia makabidhiano ya hati za utiaji wa Saini ya Makubaliano ya Ushirikiano wa Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Kiuchumi katika Sekta mbalimbali baina ya Qatar na Zanzibar, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amesaini Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Ndg. Khamis Mwalimu Suleiman (kushoto kwa Rais) kwa Qatar amesaini mmoja wa mwana familia ya Kifalme ya Qatar Sheikh Mohammad bin Mansour bin Jabor bin Jassim Al Thani, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-8-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya picha ikionesha mandhari ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, mmoja wa mwana familia ya Kifalme ya Qatar Sheikh Mohammad bin Mansour bin Jabor bin Jassim Al Thani, baada ya kumalizika kwa hafla ya utiaji wa Saini ya Makubaliano ya Ushirikiano wa Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Kiuchumi katika Sekta mbalimbali, baina ya Qatar na Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-8-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake mmoja wa mwana familia ya Kifalme ya Qatar Sheikh Mohammad bin Mansour bin Jabor bin Jassim Al Thani,baada ya kumalizika kwa hafla ya utiaji wa Saini ya Makubaliano ya Ushirikiano wa Utekelezaji wa Miradi ya Kimkakati ya Kiuchumi katika Sekta mbalimbali, baina ya Qatar na Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-8-2025.(Picha na Ikulu)