Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwan Jakaya Kikwete amewataka Maaafisa Kazi Wafawidhi nchini kuongeza ubinifu katika usuluhishi wa migogoro mahala pa kazi wito alioutoa Morogoro wakati alipofungua kikao kazi 12 Septemba 2025.

Maafisa Kazi Wafawidhi toka mikoa ya Tanzania Bara wakiwa kwenye kikao kazi cha kuandaa mwongozo wa ukaguzi mahali pa kazi mjini Morogoro 12 Septemba 2025.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwan Jakaya Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na Maafisa Kazi Wafawidhi mara baada ya kufungua kikao kazi 12 Septemba 2025 mjini Morogoro.