Kwa form ya msimu uliopita Raphinna amekuwa nafasi ya 5 nyuma ya Lamine Yamal ambaye amekuwa nafasi ya pili hii inashangaza sana eeee, Wote walikuwa kwenye timu moja Goal Involvements Raphinna yupo juu zaidi ya Lamine .
MVP wa Laliga akiwa timu moja na Lamine why Yamal hakupewa hiyo MVP kama alikuwa bora zaidi ya Raphinna ? Au watoa tuzo za Ballon D’or wanazingatia nini haswa ? Okey Salah nyuma ya Lamine ?
Imenisikitisha sana aisee huyu mtoto angetakiwa kuwa nyuma ya Salah na Raphinna sema ni vile tu kinabebwa
By Kelvin Rabson