FISTON MAYELE SASA ANAITWA IBRAHIM MAYELE
Nyota wa kimataifa wa Congo nah Pyramids Fiston Mayele amebadili dini rasmi kutoka Ukristo na kuwa Muisilamu huku akibadili Jina sasa anaitwa Ibrahim Mayele
.
Mayele ambaye yupo saudia kwenye Mashindano ya Africa-Asaia-Pacific Cup Jana alifunga Hat trick kwenye Mchezo dhidi ya Al Ahli ya saudia na Leo ameonekana akifanya ibada ya Umra