Kwa mechi chache tu alizocheza Doumbia wa Yanga imeonesha dhahiri kuwa yeye ni mchezaji wa aina gani kwani moja ya kitu kinachomfanya atajwe sana kulingana na uimara wa kiwango chake ni Pass Accuracy aliyonayo kwa maana nimemwepesi kuscan muondoko wa mtu anayempasia.
Na sio hilo tu nimchezaji ambaye hana mambo mengi kwenye maamuzi ila pia ni mzuri sana kuweka pressure kwenye lango la presha hapo sasa ndipo wanapoanza kumfananisha na Maestro Aziz Ki.