“Mchezaji pekee ambaye tutamkosa siku ya kesho [dhidi ya Wiliete FC] ni Clement Mzize. Ana majeraha ya muda mrefu, toka anacheza CHAN hakuwa sawa asilimia 100 […] Amepata uvimbe mdogo pembeni ya goti.” – Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC