
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya hundi ya shilingi milioni saba Nahodha Mudrik Mohammed wa Timu ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wenye ulemavu (Tembo Worriers) ambao wamekuwa mshindi wa Pili wa Michezo yaΒ Β Afrika Mashariki na Kati, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla kuwapongeza wanamichezo na timu zilizofanya vizuri kwenye medani za kimataifa, katika ukumbi wa mikutano wa hotel ya Hyat jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Β Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya hundi ya shilingi milioni kumi Nahodha Anastazia Katunzi wa Timu ya JKT Queens ambao ni mabingwa wa Mashindano ya CAF Womanβs Championship League Cecafa Qualifiers 2025, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla kuwapongeza wanamichezo na timu zilizofanya vizuri kwenye medani za kimataifa, katika ukumbi wa mikutano wa hotel ya Hyat jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya hundi ya shilingi milioni kumi Kocha Mkuu Imran Nackerdion wa Timu ya Taifa ya Cricket U-19 ambayo itashiriki mashindano ya Dunia 2026 nchini Zimbabwe, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla kuwapongeza wanamichezo na timu zilizofanya vizuri kwenye medani za kimataifa, katika ukumbi wa mikutano wa hotel ya Hyat jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Β