“Leo niweke wazi maana kumekuwa na maneno mengi huko,kweli Aucho ni kiungo mzuri lakini hatuna mpango wa kumrudisha kwenye kikosi chetu.”
“Wamekuja viungo wazuri kwenye timu yetu na tunawaamini sana nao pia watapata ukubwa kwenye klabu yetu.”
Ally Kamwe Afisa habari wa Yanga Sc