Usiku wa leo, viwanja vya Ulaya vinageuka kuwa jukwaa la ndoto, mbinu kali, kasi ya ajabu, na ushindi wa kihistoria. Raundi ya pili ya UEFA Champions League inatua kwa kishindo, na Meridianbet inakupa odds kubwa kuliko kawaida. Huu si muda wa kusubiri, ni muda wa kuchagua, kubashiri, na kushinda.
Baada ya kuchakazwa na PSG, Atalanta wanarudi nyumbani wakitafuta ushindi mwingine. Lakini mbele yao ni Club Brugge waliowasha moto na kuizamisha Monaco 4-1. Mechi hii ni ya miamba wanaotafuta heshima, na Meridianbet imeweka odds za kutikisa.
Mabingwa wa kihistoria Real Madrid wanakutana na Kairat Almaty waliopigwa 4-1 na Sporting CP. Madrid walipata ushindi wa taabu dhidi ya Marseille, lakini leo wanakuja na meno yote nje. Bashiri ya mabao, clean sheet au hata mfungaji wa kwanza, Meridianbet inakupa kila njia ya kutengeneza ushindi.
Kwa mashabiki wa soka na wabashiri wa kweli, usiku huu ni wa kuchagua kwa akili na kuweka bashiri sahihi huku michezo mingine mbalimbali ya kasino mtandaoni ikiendelea kutoa matajiri. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# kujiunga na ushinde sasa.
Diego Simeone anarudi Metropolitano akiwa na deni la mashabiki baada ya kipigo kutoka kwa Liverpool. Frankfurt waliwafunga Galatasaray 5-1 na sasa wanakuja na moto wa Bundesliga. Mechi hii ni ya akili na mbinu mbadala, na odds za Meridianbet zinakupa nafasi ya kuchagua mshindi kabla ya dakika ya 90.
Spurs baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Villarreal wanatua Norway kukutana na Bodoe/Glimt waliotoka sare ya 2-2 dhidi ya Slavia Prague. Ushindi wao dhidi ya Villarreal haukuwa rahisi, na sasa wanakabiliwa na kizingiti kingine. Meridianbet inatoa odds za kuvutia kwa mechi hii.
Miaka 25 tangu aanze ukocha, Jose Mourinho anarudi Stamford Bridge kama kocha wa Benfica. Chelsea walichapwa 3-1 na Bayern, huku Benfica wakipoteza kwa Qarabag licha ya kuongoza. Mechi hii ni ya muhimu kwa Mourinho anayekabiliana na waajiri wake wa zamani, na Meridianbet inatoa odds za kipekee.
Liverpool walipambana na Atletico na kushinda 3-2. Sasa wanatua Istanbul kuwakabili Galatasaray waliopigwa 5-1 na Frankfurt. Arne Slot ana kikosi chenye kasi na uzoefu, na Meridianbet inatoa odds za kuchagua moja kati ya machaguo 1000 yaliyopo kwenye mchezo huu mkubwa.
Baada ya kuichapa Chelsea 3-1, Bayern wanakutana na Pafos FC waliotoka sare ya 0-0 dhidi ya Olympiacos. Harry Kane yupo kwenye moto bila kuwasahau Diaz na Olise, na Meridianbet inatoa odds kabambe kwa wanasuka jamvi kwenye mchezo huu.
The post UEFA CHAMPIONS LEAGUE, BASHIRI ZA MOTO NA MERIDIANBET… appeared first on Soka La Bongo.