SIWEZI KURUDI SIMBA.
“Tulikubaliana Mechi moja,mimi ni mwajiriwa wa TFF nimerudi kwenye majukumu yangu kwa sasa siwezi kurudi Simba.
Simba ina wachezaji wazuri mmoja mmoja na wanauozoefu katika mashindano ya kimataifa kwa muda mrefu.
Nafikiri wakiwa wamoja kwa pamoja wanaweza kufika mbali”-Kocha Hemedi Morocco
Credit Passion FM
Kocha