Simba ipo kwenye hatua za mwisho za mchakato wa kupata Kocha Mkuu atakayerithi mikoba ya Fadlu Davids
Simba wanataka kocha aanze kazi Jumatatu ya Okt 6 (siku ya wachezaji kurejea kambini)
Zandani zinasema kocha wa Gaborone Utd,raia wa Bulgaria Dimitar Pantev (49) ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo.
Simba wamekubali kumpa kila hitaji lake hivyo muda wowote kuanzia sasa atatua Dar es salaam ili kukamilisha dili lake na Mnyama